Mafanikio App

Περιέχει διαφημίσεις
10 χιλ.+
Λήψεις
Αξιολόγηση περιεχομένου
Κατάλληλο για όλους
Εικόνα στιγμιότυπου οθόνης
Εικόνα στιγμιότυπου οθόνης
Εικόνα στιγμιότυπου οθόνης
Εικόνα στιγμιότυπου οθόνης
Εικόνα στιγμιότυπου οθόνης
Εικόνα στιγμιότυπου οθόνης

Περιγραφή εφαρμογής

PpApp hii, Itakusadia sana kwa namna moja ama nyingine kuweza kujua mbinu mbalimbali zitakazokusaidia kupata matokeo chanya kwenye kila jambo ulifanyalo, iwe ni katika biashara, mahusiano, masomo yako na, uwekeafajani

PpApp hii Itakupa masomo mazuri ambayo yatakayokusaidia kuboresha mahusiano yako ya kifamalia na kimapenzi pia. Ikiwa mnapendana na mpenzi wako basi app hii itakusaidia sana ni kwa namna gani unaweza kuyafanya mahusiano yako yawe na mvuto zaidi. Vile vile itakusaidia namna ya kupata suluhu hasa pale mtakapokuwa mmegombana na mpenzi wako.

AfMafanikio app, Kila siku itakusaidia ili uweze kusoma vitabu mbalimbali vya mafanikio, mahusiano, biashara, maisha vitakavyokujenga na kukupa mwangaza zaidi wa kuweza kufanikiwa kwenye kila jambo unalotaka kufanikiwa.

IaPia Itakuwa ni jibu tosha katika kuhakikisha inakupa na kukujuza kila siku Mbinu za kupata ajira kwa urahisi na kuilinda ajira hiyo hatimaye uweze kuishi maisha ya ndoto zako.

IleVilevile, Itakusaidia kuweza kupata majibu ya changamoto mbalimbali ambazo huwa zinayakumba maisha yetu kwa ujumla. Pia unaweza kusoma nukuu mbalimbali za kimaisha zitakazokujenga na kukufirisha na wakati mwingine kukupa hamasa za kiutendaji kwenye kila jambo unalolifanya au unalotaka kufanya.

Mambo mengine utakayoyapata hapa ni kwamba app hii-:
TItakupa masomo Mbalimbali ya Jinsi ya kufanikiwa katika kilimo chenye tija. Kilimo chenye tija ni kilimo ambacho kitakuwa na faida kwako au kwa maneno mengine ni kilimo biashara

Imeeleza kwa kina njia za kupata mtaji wa kuanzisha biashara. Kwani wengi wetu tumekuwa hatufanyi biashara kwa kisingizo eti sina mtaji, basi ukiwa na Mafanikio App itakueleza ni kwa namna gani utapata mtaji na kufanya biashara yenye mafanikio.

W Mwisho, itakueleza mbinu mbalimbali za kuweza kupanga malengo ya kimaisha na hatimaye kuweza kuganikiwa kupitia malengo hayo uliyojiwekea, lakini vile vile app hii itakupa Mbinu mbalimbali zitakazokusaidia kanyalya kyaialia mia maliakalia kyai

💖 Masomo mbalimbali yanayohusu masuala ya afya, ikiwa ni pamoja namna sahihi ya kujikinga na magonjwa ya yasiyoambukizwa yote yatapatika hapa, Idownload Sasa App hii ili uweze kufurahia masomo mbalimbali. ASANTE !!!
Ενημερώθηκε στις
7 Απρ 2024

Ασφάλεια δεδομένων

Η ασφάλειά σας ξεκινά από την κατανόηση του τρόπου με τον οποίο οι προγραμματιστές συλλέγουν και κοινοποιούν τα δεδομένα σας. Οι πρακτικές απορρήτου και ασφάλειας δεδομένων μπορεί να διαφέρουν ανάλογα με τη χρήση, την περιοχή και την ηλικία σας. Αυτές οι πληροφορίες παρέχονται από τον προγραμματιστή και ενδέχεται να ενημερωθούν με την πάροδο του χρόνου.
Αυτή η εφαρμογή ενδέχεται να κοινοποιεί αυτούς τους τύπους δεδομένων σε τρίτα μέρη
Πληροφορίες και απόδοση εφαρμογής και Αναγνωριστικά συσκευής ή άλλα αναγνωριστικά
Δεν συλλέχθηκαν δεδομένα
Μάθετε περισσότερα σχετικά με τον τρόπο δήλωσης συλλογής από τους προγραμματιστές
Τα δεδομένα κρυπτογραφούνται κατά τη μεταφορά
Δεν είναι δυνατή η διαγραφή δεδομένων