Rakendus on veel inatoa mafunzo ya Kilimo katika nyanja mbalimbali kama vile Biashara, Teknolojia za kilimo, Mapishi, Ufugaji na Sanaa.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Veebisait yetu www.kilimobiashara.org.
Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (veebisaidi rakendus) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
E-post: agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp: +255 762 799 080
.
****************************************************** **************
Androidi lahendused
Disainitud;
Mshindo Androidi lahendused
Wanging'ombe
Njombe.
WhatsApp: +255 762 799 080
E-post: agrotanzania.care@gmail.com
Värskendatud:
16. märts 2024