Mafanikio App

Contient des annonces
10 k+
Téléchargements
Classification du contenu
Tout public
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran

À propos de l'application

App hii, Itakusadia sana kwa namna moja ama nyingine kuweza kujua mbinu mbalimbali zitakazokusaidia kupata matokeo chanya kwenye kila jambo ulifanyalo, iwe ni katika biashara, mahusiano, masomo yako vitoyao, uwevingfanyaji v.

App hii Itakupa masomo mazuri ambayo yatakayokusaidia kuboresha mahusiano yako ya kifamalia na kimapenzi pia. Ikiwa mnapendana na mpenzi wako basi app hii itakusaidia sana ni kwa namna gani unaweza kuyafanya mahusiano yako yawe na mvuto zaidi. Vile vil itakusaidia namna ya kupata suluhu hasa pale mtakapokuwa mmegombana na mpenzi wako.

Application Mafanikio, Kila siku itakusaidia ili uweze kusoma vitabu mbalimbali via mafanikio, mahusiano, biashara, maisha vitakavyokujenga na kukupa mwangaza zaidi wa kuweza kufanikiwa kwenye kila jambo unalotaka kufanikiwa.

Pia Itakuwa ni jibu tosha katika kuhakikisha inakupa na kukujuza kila siku Mbinu za kupata ajira kwa urahisi na kuilinda ajira hiyo hatimaye uweze kuishi maisha ya ndoto zako.

Vilevile, Itakusaidia kuweza kupata majibu ya changamoto mbalimbali ambazo huwa zinayakumba maisha yetu kwa ujumla. Pia unaweza kusoma nukuu mbalimbali za kimaisha zitakazokujenga na kukufirisha na wakati mwingine kukupa hamasa za kiutendaji kwenye kila jambo unalolifanya au unalotaka kufanya.

Mambo mengine utakayoyapata hapa ni kwamba app hii-:
Itakupa masomo Mbalimbali ya Jinsi ya kufanikiwa katika kilimo chenye tija. Kilimo chenye tija ni kilimo ambacho kitakuwa na faida kwko au kwa maneno mengine ni kilimo biashara

Imeeleza kwa kina njia za kupata mtaji wa kuanzisha biashara. Kwani wengi wetu tumekuwa hatufanyi biashara kwa kisingizo eti sina mtaji, basi ukiwa na Mafanikio App itakueleza ni kwa namna gani utapata mtaji na kufanya biashara yenye mafanikio.

Mwisho, itakueleza mbinu mbalimbali za kuweza kupanga malengo ya kimaisha na hatimaye kuweza kuganikiwa kupitia malengo hayo uliyojiwekea, lakini vile vile app hii itakupa Mbinu mbalimbali zitakazokusirii nawenanyakuo kujiol

💖 Masomo mbalimbali yanayohusu masuala ya afya, ikiwa ni pamoja namna sahihi ya kujikinga na magonjwa ya yasiyoambukizwa yote yatapatika hapa, Idownload Sasa App hii ili uweze kufurahia masomo mbalimbali. ASANTE !!!
Date de mise à jour
7 avr. 2024

Sécurité des données

La sécurité, c'est d'abord comprendre comment les développeurs collectent et partagent vos données. Les pratiques concernant leur confidentialité et leur protection peuvent varier selon votre utilisation, votre région et votre âge. Le développeur a fourni ces informations et peut les modifier ultérieurement.
Cette appli peut partager ces types de données avec des tiers
Infos et performance des applis et Appareil ou autres ID
Aucune donnée collectée
En savoir plus sur la manière dont les développeurs déclarent la collecte
Les données sont chiffrées lors de leur transfert
Impossible de supprimer les données