Matukio Tz

Contient des annonces
10 k+
Téléchargements
Classification du contenu
Tout public
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran

À propos de l'application

Matukio Tz ni app ambayo itakuwa ikikuletea taarifa mbalimbali zinazotokea ndani ya Tanzanie na Ulimwengu pia Kiujumla taarifa hizo zimetegwa katika mafungu makuu manne kama ifuatavyo;

HABARI, Hapa utakuwa ukijuzwa matukio mbalimbali yanayojiri hapa nchini Tanzani na pia yale yatokeayo nje ya mipaka ya Tanzanie, Kijamii, Kiuchumi na Kibiashara.

MICHEZO, Katika sehemu hii ya michezo mdau wa soka utakuwa ukifurahia taarifa za soka kuhusiana na timu kongwe Yanga na Simba ni pia taarifa za ligi zote kuanzia ligi kuu hadi ligi za madaraja ya chini yake, pia taarifa za ligi mbalimbali ulaya na wachezaji wake utakuwa ukizipata application Kupitia salut.

BURUDANI, Hii ​​sehemu ambayo ww mpenzi wa muziki na tamthlia za kutafsiliwa kiswahili utakuwa ukitazama tamthilia hizo mojamoja kwa mojoja mtandaoni au kwa kuzipakua kwanza kwenye simu na baadae kuziangalia ukiwa hutumii mtandao wa internet,pia utaweza kupakua nyimbo mpya zinazotoka kila ikiwa ni vidéo et audio pia .



App hii ni mahususi kwako ww mtanzania mwenzangu kwani mambo yaliyomo ni maalamu na muhimu sana ndani ya Tanzanie.

Ahsanteni.
Date de mise à jour
13 avr. 2024

Sécurité des données

La sécurité, c'est d'abord comprendre comment les développeurs collectent et partagent vos données. Les pratiques concernant leur confidentialité et leur protection peuvent varier selon votre utilisation, votre région et votre âge. Le développeur a fourni ces informations et peut les modifier ultérieurement.
Aucune donnée partagée avec des tiers
En savoir plus sur la manière dont les développeurs déclarent le partage
Aucune donnée collectée
En savoir plus sur la manière dont les développeurs déclarent la collecte
Les données sont chiffrées lors de leur transfert
Impossible de supprimer les données

Nouveautés

Furahia Habari,Michezo,Burudani, Radio pia na Videos