Ni App ambayo inatoa elimu juu ya ufugaji wa kuku aina zote kitaalamu
Kupitia App hii utapata maelekezo rahisi na sahihi ya kutatua changamoto mbalimbali za ufugaji kuku, ikiwemo Malezi ya vifaranga, ujenzi wa banda sahihi, Magonjwa, chanjo, vyakula vya kuku, masoko ya bidhaa zitokan Nujo
Kupitia App hii utaweza kuuliza maswali kwa mtaalamu wa Kuku na utajibiwa moja kupitia, Instagram, Twitter, Facebook, YouTube ແລະ Simu ya maongezi.
ອັບເດດແລ້ວເມື່ອ
26 ພ.ພ. 2024