Praat met de president is een systeem dat u de mogelijkheid geeft om uw zorgen of klachten over de instellingen van de revolutionaire regering van Zanzibar kenbaar te maken, zodat deze effectief en snel kunnen worden opgelost.
Sema na Rais ni mfumo rasmi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na ni mfumo wa kwanza Tanzania unotoa fursa kwa wananchi kutoa changamoto zao zinazowakabili kwenye taasisi za serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mfumo huu unarahisi utumaji wa changamoto au maoni pamoja na kufatilia hatua iliofikia kupatiwa ufumbuzi.
Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti yetu www.maoni.rahisi.co.tz