Mafanikio App

ବିଜ୍ଞାପନ ଅନ୍ତର୍ଭୂକ୍ତ
10ହ+
ଡାଉନଲୋଡଗୁଡ଼ିକ
ବିଷୟବସ୍ତୁ ମୂଲ୍ୟାଙ୍କନ
ସମସ୍ତେ
ସ୍କ୍ରିନସଟ୍ ଛବି
ସ୍କ୍ରିନସଟ୍ ଛବି
ସ୍କ୍ରିନସଟ୍ ଛବି
ସ୍କ୍ରିନସଟ୍ ଛବି
ସ୍କ୍ରିନସଟ୍ ଛବି
ସ୍କ୍ରିନସଟ୍ ଛବି

ଏହି ଆପ୍ ବିଷୟରେ

💥App hii, Itakusadia sana kwa namna moja ama nyingine kuweza kujua mbinu mbalimbali zitakazokusaidia kupata matokeo chanya kwenye kila jambo ulifanyalo, iwe ni katika biashara, mahusiano, masomo yako, uwekezaji na vitu vingine vya kimafanikio.

💥App hii Itakupa masomo mazuri ambayo yatakayokusaidia kuboresha mahusiano yako ya kifamalia na kimapenzi pia. Ikiwa mnapendana na mpenzi wako basi app hii itakusaidia sana ni kwa namna gani unaweza kuyafanya mahusiano yako yawe na mvuto zaidi. Vile vile itakusaidia namna ya kupata suluhu hasa pale mtakapokuwa mmegombana na mpenzi wako.

💥Mafanikio app, Kila siku itakusaidia ili uweze kusoma vitabu mbalimbali vya mafanikio, mahusiano, biashara, maisha vitakavyokujenga na kukupa mwangaza zaidi wa kuweza kufanikiwa kwenye kila jambo unalotaka kufanikiwa.

💥Pia Itakuwa ni jibu tosha katika kuhakikisha inakupa na kukujuza kila siku Mbinu za kupata ajira kwa urahisi na kuilinda ajira hiyo hatimaye uweze kuishi maisha ya ndoto zako.

💥Vilevile, Itakusaidia kuweza kupata majibu ya changamoto mbalimbali ambazo huwa zinayakumba maisha yetu kwa ujumla. Pia unaweza kusoma nukuu mbalimbali za kimaisha zitakazokujenga na kukufirisha na wakati mwingine kukupa hamasa za kiutendaji kwenye kila jambo unalolifanya au unalotaka kufanya.

Mambo mengine utakayoyapata hapa ni kwamba app hii-:
💖Itakupa masomo Mbalimbali ya Jinsi ya kufanikiwa katika kilimo chenye tija. Kilimo chenye tija ni kilimo ambacho kitakuwa na faida kwako au kwa maneno mengine ni kilimo biashara

💖 Imeeleza kwa kina njia za kupata mtaji wa kuanzisha biashara. Kwani wengi wetu tumekuwa hatufanyi biashara kwa kisingizo eti sina mtaji, basi ukiwa na Mafanikio App itakueleza ni kwa namna gani utapata mtaji na kufanya biashara yenye mafanikio.

💖 Mwisho, itakueleza mbinu mbalimbali za kuweza kupanga malengo ya kimaisha na hatimaye kuweza kuganikiwa kupitia malengo hayo uliyojiwekea, lakini vile vile app hii itakupa Mbinu mbalimbali zitakazokusaidia kujiajiri na kuwa mtu mwenye mafanikio kwenye kila jambo unalolifanya au unalotaka kulifanya.

💖 Masomo mbalimbali yanayohusu masuala ya afya, ikiwa ni pamoja namna sahihi ya kujikinga na magonjwa ya yasiyoambukizwa yote yatapatika hapa, Idownload Sasa App hii ili uweze kufurahia masomo mbalimbali. ASANTE!!!
ଗତ ଅପଡେଟର ସମୟ
ଅପ୍ରେଲ 7, 2024

ଡାଟା ସୁରକ୍ଷା

ଡେଭେଲପରମାନେ ଆପଣଙ୍କ ଡାଟାକୁ କିପରି ସଂଗ୍ରହ ଏବଂ ସେୟାର କରନ୍ତି ସେହି ଧାରଣା ସହିତ ସୁରକ୍ଷା ଆରମ୍ଭ ହୁଏ। ଆପଣଙ୍କ ବ୍ୟବହାର, ଅଞ୍ଚଳ ଏବଂ ବୟସ ଆଧାରରେ, ଡାଟା ଗୋପନୀୟତା ଓ ସୁରକ୍ଷା କାର୍ଯ୍ୟପଦ୍ଧତିଗୁଡ଼ିକ ଭିନ୍ନ ହୋଇପାରେ। ଡେଭେଲପର ଏହି ସୂଚନା ପ୍ରଦାନ କରିଛନ୍ତି ଏବଂ ସେ ସମୟାନୁସାରେ ଏହାକୁ ଅପଡେଟ କରିପାରନ୍ତି।
ଏହି ଆପ ତୃତୀୟ ପକ୍ଷଗୁଡ଼ିକ ସହ ଏହି ଡାଟା ପ୍ରକାରଗୁଡ଼ିକ ସେୟାର କରିପାରେ
ଆପ ସୂଚନା ଏବଂ ପରଫରମାନ୍ସ ଓ ଡିଭାଇସ କିମ୍ବା ଅନ୍ୟ IDଗୁଡ଼ିକ
କୌଣସି ଡାଟା ସଂଗ୍ରହ କରାଯାଇନାହିଁ
ଡେଭେଲପରମାନେ କିପରି ସଂଗ୍ରହର ଘୋଷଣା କରନ୍ତି ସେ ବିଷୟରେ ଅଧିକ ଜାଣନ୍ତୁ
ଟ୍ରାଞ୍ଜିଟ ସମୟରେ ଡାଟା ଏନକ୍ରିପ୍ଟ କରାଯାଇଥାଏ
ଡାଟା ଡିଲିଟ କରାଯାଇପାରିବ ନାହିଁ