Matukio Tz

Zawiera reklamy
10 tys.+
Pobrane
Ocena treści
Dla wszystkich
Zrzut ekranu
Zrzut ekranu
Zrzut ekranu
Zrzut ekranu
Zrzut ekranu
Zrzut ekranu
Zrzut ekranu

Informacje o aplikacji

Matukio Tz ni aplikacja ambayo itakuwa ikikuletea taarifa mbalimbali zinazotokea ndani ya Tanzania na Ulimwengu pia Kiujumla taarifa hizo zimetegwa katika mafungu makuu manne kama ifuatavyo;

HABARI, Hapa utakuwa ukijuzwa matukio mbalimbali yanayojiri hapa nchini Tanzani na pia yale yatokeayo nje ya mipaka ya Tanzania, Kijamii, Kiuchumi na Kibiashara.

MICHEZO, Katika sehemu hii ya michezo mdau wa soka utakuwa ukifurahia taarifa za soka kuhusiana na timu kongwe Yanga na Simba ni pia taarifa za ligi zote kuanzia ligi kuu hadi ligi za madaraja ya chini yake, pia taarifa za ligi mbalimbali ulaya na wachezaji wake utakuwa ukizipata aplikacja kupitia hii.

BURUDANI, Hii ​​sehemu ambayo ww mpenzi wa muziki na tamthlia za kutafsiliwa kiswahili utakuwa ukitazama tamthilia hizo mojamoja kwa mojoja mtandaoni au kwa kuzipakua kwanza kwenye simu na baadae kuziangalia ukiwa hutumii mtandao wa internet,pia utaweza kupakua nyimbo mpy a zinazotoka kila ikiwa ni wideo na audio pia .



Aplikacja hii ni mahususi kwako ww mtanzania mwenzangu kwani mambo yaliyomo ni maalamu na muhimu sana ndani ya Tanzania.

Ahsanteni.
Ostatnia aktualizacja
13 kwi 2024

Bezpieczeństwo danych

Podstawą bezpieczeństwa jest wiedza o tym, jak deweloperzy zbierają i udostępniają Twoje dane. Sposoby zapewniania prywatności i bezpieczeństwa danych mogą się różnić w zależności od użycia aplikacji, regionu i wieku użytkownika. Te informacje podał deweloper i z czasem może je aktualizować.
Żadne dane nie są udostępniane innym firmom
Dowiedz się więcej o deklarowaniu udostępniania danych przez deweloperów
Aplikacja nie zbiera danych
Dowiedz się więcej o deklarowaniu zbierania danych przez deweloperów
Dane są zaszyfrowane podczas przesyłania
Nie można usunąć danych

Co nowego

Furahia Habari,Michezo,Burudani, Radio pia na Videos