Programa InfoTaaluma Mzazi App inayomsaidia mzazi kufuatilia maendeleo yote ya mtoto acordar kutoka shule mahali popote atakapokuepo kama vil Mahudhurio ya darasani, Matokeo ya mitihani, ripoti za mihula, namba za wala
Maendeleo ya mwanao ya kiganjani mwako \n Pata Mahudhurio yake, Matokeo ya mtihani, ripoti za mihula, Namba za walimu wake, Ratiba yake ya darasani na Kujipima kwa mwanafunzi kupitia mazoezi nakuangalia malipo na kulipa michango shuleni kwa urahisi.