App yetu inatoa mafunzo ya Kilimo katika nyanja mbalimbali kama vil Biashara, Teknolojia za kilimo, Mapishi, Ufugaji na Sanaa.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Website yetu www.kilimobiashara.org.
Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (aplicativo no site) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
E-mail: agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp: +255 762 799 080
.
************************************************** ***************
Soluções Android
Projetado por;
Mshindo Soluções Android
Wanging'ombe
Njombe.
WhatsApp: +255 762 799 080
E-mail: agrotanzania.care@gmail.com
Atualizado em
16 de mar. de 2024