AFROCAYA ni jukwaa ambapo wanunuzi, wauzaji, wamiliki wa nyumba, wapangaji na watoa huduma wengine katika Sekta ya Majengo hukutana na kufanya miamala. Ilianzishwa mwaka 2021 ikiwa na maono ya kuleta mapinduzi katika tasnia ya majengo nchini Tanzania, kwa kuwaunganisha wanunuzi, wauzaji na wachezaji wengine wa Sekta ya Majengo na Mali pamoja katika sehemu moja “ONLINE” ili kuleta urahisi, uwazi na thamani katika Sekta ya Majengo.
Ilisasishwa tarehe
23 Okt 2023