Mavazi ya Anime ya Wasichana

4.3
Maoni elfu 75.6
10M+
Vipakuliwa
Zimeidhinishwa na Walimu
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu mchezo huu

Je nyie mi manga, anime ama mpenzi wa mtindo wa pop wa Ujapani? Ikiwa ndivyo, mchezo wa mavazi ya anime ya kike ndio mchezo wako sasa.
Kwa mchezo huu,unapata kumrembesha wasichana vidosho! Kuna wasichana 6 vidosho, vizingiti 4 and bidhaa za mavazi 200 kufanyia uchaguzi! Hamna malipo kwa ununuzi wa app hii, kila kitu ni bure!

Anime mavazi ya wasichana ni mojawapo ya michezo yasiyohitaji malipo kwa Google Playstore, inayokupa nafasi kuwavisha wote.
Twatamania utamaduni wa Kimanga,hususan the Kawaii onyesho. Waeza kumvisha msichana wa chuo cha upili kwa viatu virefu,utamaduni wa sketi fupi na kadhalika.

Ni kama uko saluni penye mitindo mengi . kuna milioni kadhaa ya miondoko ambayo itakutia furaha.
Anime mavazi features:
• Hamna malipo ya kununua app hii
• Mitindo mizuri ya usukaji nywele
• Kawaai girls wasupuu
• Misanyiko ya dresses, suruali,vinyasa,sketi na pets na mengine zaidi
• Zaidi ya bidhaa mia mbili
Pata mchezo huu na uanze makeover sasa hivi.
Ilisasishwa tarehe
29 Mac 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Data haiwezi kufutwa
Kujitolea kufuata Sera ya Familia ya Google Play

Ukadiriaji na maoni

4.4
Maoni elfu 60.1