Ubunifu wa Nyumba ya Princess

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.6
Maoni elfu 79.5
10M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu mchezo huu

Je! umewahi kutaka kuwa binti wa kifalme? Umekuwa ukiitaka nyumba ya ndoto yako kila wakati na ulitaka kubuni ngome yako ya kifalme? Basi hamu yako imetimia! Sasa umepata nafasi ya kupamba na kukarabati jumba lako la kifalme ndani ya mji wa Tizi michezo ya ubunifu wa nyumba na michezo ya binti wa kifalme. Kuwa mbunifu bora wa vitu vya ndani katika jiji. Ni ulimwengu wa kufikirika usio na kikomo kwa ubunifu na furaha.

Furahia maisha ya mapambo ndani ya mchezo wa nyumba kidoli ya binti wa kifalme. Cheza michezo ya ukarabati na ujenge ngome nzuri ya binti wa kifalme na mapambo ya vitu vya ndani yanayoonekana yamependeza ndani ya Tizi michezo ya Usanifu wa Nyumba.

Kuwa mtaalamu wa ukarabati na ufungue rangi zaidi na ujuzi mpya. Pamba nyumba kwa kutumia vyombo vya nyumbani vilivyoongezwa katika visasisho wakati wote. Kuwa mbuni wa mambo ya ndani na yafanye mawazo yako yawe hai. Buni sebule yako, chumba cha kulala, jiko, bustani, shule, shule ya awali, ulimwengu wa yunikoni, na maeneo mengi zaidi kwa michezo yetu ya kupendeza ya ubunifu wa nyumba.

Kuna nini zaidi? Tengeneza wahusika 100 wa kupendeza kwa nguo nyingi, vifaa vya mitindo, vipodozi na zaidi & Cheza na wahusika mbalimbali wazuri na uunde hadithi yako mwenyewe. Jenga nyumba ya ndoto yako ya binti wa kifalme katika mji wa Tizi. Mchezo wetu wa ubunifu wa nyumba hukuruhusu kutengeneza nyumba yako bora.

Hivi ndivyo unavyoweza kutengeneza ndani ya Mji wa Tizi michezo ya Ubunifu wa Nyumba kwa watoto na michezo ya binti wa kifalme kwa wasichana:

Kasri la Binti wa Kifalme:
Buni kasri zuri la binti wa kifalme na fanicha za kifalme, sakafu, na vipande vya sanaa vya thamani katika michezo ya binti wa kifalme.

Jiko
ni wakati wa kurekebisha jikoni. Angalia majiko mbalimbali ya kupikia, oveni za maikrowevu, sinki za jikoni, na kabati, mashine za kuchoma nyama, mashine za kutengeneza kahawa, bakuli na sufuria, seti za kukata na vifaa vya nyumbani. chagua zile uzipendazo na uweke jikoni mwako na kuifanya ndoto yako kuwa hai!

Shule
Hujambo.. inabidi urekebishe shule katika mji wa tizi ijayo. Haraka na ufanye kazi. Chagua kutoka kwenye aina kubwa za madawati, viti, kabati, kabat za vifungioi, viti vya ofisi, na zaidi, na ufanye ofisi kuu ionekane ya kustaajabisha kabisa. Pia, una taa nyingi za dari za kuchagua katika michezo yetu ya upambaji ili kuhakikisha kila darasa lina mwanga wa kutosha na angavu.

Nyumba ya Matunda
Umewahi kuona nyumba yenye umbo la matunda? Tazama moja katika mji wa Tizi hivi sasa. Pamba ndani kwa picha zenye mandhari ya matunda na samani kama vile kabati, vitanda, madawati, safu, meza za chakula na zaidi. Rekebisha Nyumba kwa mandhali za kipekee za matunda katika michezo yetu ya upambaji na waalike marafiki zako kwenye karamu na mjumuike pamoja.

Maeneo mengi zaidi kama vile ulimwengu wa yunikoni, nyumba ya kutisha, nyumba ya mandhari ya sherehe ya siku ya kuzaliwa, shule ya awali, bustani na zingine nyingi. Hakuna kikomo cha uwezekano katika mchezo huu wa kusisimua wa ubunifu wa nyumba.

Mtengenezaji Muhusika
Tengeneza mhusika mzuri kwa vitu 100+, mavazi maridadi, mitindo ya nywele, vipodozi, vitu vya mitindo na sura nzuri za uso na ucheze nazo.

wafifu wa app ni:
* vitu vingi vya kupamba vyumba vyako
* Vitu mbalimbali vya kifalme vya kucheza navyo!
* Gusa, kokota na uchunguze kila kitu na uone kinachotokea!
* Buni sebule yako, chumba cha kulala, bustani, jiko, shule, shule ya awali, ulimwengu wa yunikoni, na maeneo mengi zaidi.
*Tengeneza mhusika mzuri na mamia ya nguo, mitindo ya nywele, vipodozi na vitu vya mitindo.
* Imetengenezwa kwa watoto wa umri wa miaka 6-8, kila mtu atafurahia kucheza kwenye jumba hili la madoli.
* App ni bure kabisa.

Kuwa binti wa kifalme wa ulimwengu wako, Tengeneza jumba la ndoto yako na jumba la binti wa kifalme, na uishi maisha ya mapambo ukiwa na Tizi Ubunifu wa Nyumba. Pakua mchezo huu sasa na ufurahie kutengeneza vitu vizuri vya ndani katika mchezo huu wa ukarabati kwaajili ya watoto.
Ilisasishwa tarehe
17 Mei 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Kifaa au vitambulisho vingine
Data haijasimbwa kwa njia fiche
Data haiwezi kufutwa

Ukadiriaji na maoni

4.7
Maoni elfu 70.2

Mapya

Hello Tizians! In this version, we have fixed annoying bugs and made improvements to the visuals and overall user experience to make Home design more fun than ever before. Update now!