elfuĀ 1+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Jinsi ya kupata zaidi kwenye mradi wako kwa kutumia Poultry Coach

Poultry Coach itawasaidia wafugaji kupata huduma toka Koudijs moja kwa moja kwa masaa 24 siku 7 za wiki na kupata maarifa toka nchi mbalimbali duniani. Poultry Coach ni programu rahisi kutumia ambayo inawawezesha wafugaji kufuatilia utendaji wao wa shamba. Programu hiyo ina orodha ya kila siku kusaidia kufikia uwezo kamili wa kundi la kuku kupitia vidokezo vya vitendo.

Ulaji wa kila siku wa chakula na vifo ni vipimo vya msingi kila mfugaji hujaza. Walakini, data ya ziada inaweza kuongezwa kama vile uzito wa kuku, unywaji wa maji, na joto la bandani hata ili kuelewa zaidi utendaji wa kundi.

Nani anaweza kufaidika na Poultry coach?

Poultry Coach imeundwa maalumu kwa wafugaji makini wa kuku kuwapa ya taaluma ya shughuli zao ili kuwapa mapato zaidi.

Vipengele vya programu ya kuku;

Orodha ya kila siku na vidokezo vya utaalam wa shamba lako iliyoundwa na timu ya Koudijs ya wataalamu wa kuku

Uingizaji wa data ya uzalishaji kuchambua utendaji wa kila kundi la kuku

Ripoti kubwa juu ya utendaji wa kila kundi shambani na ripoti za viashiria

Ufikiaji rahisi wa mwongozo wa mchanganyiko kulingana na upatikanaji wa malighafi za ndani

Upimaji na kiasi cha mchanganyiko wa virutubisho

Pakua programu na uamilishe mkufunzi wako kwa kujaza kundi lako la kwanza. Programu ya Poultry Coach inapatikana kwa Kiingereza na huru kutumia kwa wafugaji wa kuku.

Koudijs, ulishaji kwa matokeo. Pamoja kwa matokeo bora kwenye shamba lako la kuku.
Ilisasishwa tarehe
6 Jun 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Taarifa binafsi
Data haijasimbwa kwa njia fiche
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Mapya

We have upgraded the notification contents for getting detailed instruction and some minor patches for refined poultry coach experience.