Malunde 1 Blog

Ina matangazo
elfu 50+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Malunde 1 blog App – ni programu maalum kwa ajili ya habari na matukio yanayotokea Tanzania na nje ya Tanzania. Habari za michezo, ajira ,picha nzuri, mapenzi, siasa, uchumi, burudani, video mpya, nyimbo mpya na mambo yote mazuri.

Malunde 1 blog App - Usipate tabu tena kutafuta habari za kusisimua na magazeti ya kila siku, kuwa mjanja malunde 1 blog app ndiyo kituo cha taarifa mpya, habari za moto moto , yanayojiri magazetini, habari kubwa magazeti, vichwa vya habari magazeti na habari na matukio ya ukweli na uhakika muda wote. Tunakupa habari kali kali kwa waziri wa habari mahiri.

Malunde 1 blog App – Ni mahali pekee ambapo utapata habari za Shinyanga, Gamboshi na maeneo yote. Ni kituo cha habari za kusisimua, siasa, simulizi, mapenzi, michezo,nyimbo za asili na vituko. Mambo yote ya mitindo na matangazo na matangazo ya burudani na biashara utapata kupitia app hii.

Malunde 1 blog App – Kuwa wa kwanza kupokea nyimbo za asili, ngoma mpya za wasanii wa nyimbo asili na utamaduni. Tunakupa furaha na burudani za asili ili ufurahie ulimwengu wa burudani kutoka kwa wasanii wa Kanda ya Ziwa wakiwemo akina Bhudagala, Ng'wana Kang'wa, Ntemi omabala, Ngelela, Bhulemela, Mama Ushauri, Elizabeth Maliganya, Gude Gude, Kisima, Mchelemchele, Mlyambelele. , Madebe na Wasanii wengine wa ngoma za Kisukuma, nyimbo za kisukuma, nyimbo za utamaduni , nyimbo za makabila yote.

Malunde 1 blog App - Hii inakupa habari mbalimbali na mapenzi, mahusiano, mapenzi,jinsi ya kuchagua mchumba, vyakula vya afya ya uzazi,jinsi ya kupata mrembo wa kuishi naye, visa vya, matukio ya mapenzi ushauri pamoja na simulizi zinazohusu na mapenzi kila siku zitakazokufanya uweze kujua mambo mengi sana mbinu na Mapenzi na matukio yatokanayo na mapenzi.

Malunde 1 App - App maalumu kwa habari za michezo na burudani, mechi zote, timu zote zinazocheza na wasanii wa filamu, bongo fleva, Singeli, bolingo, bongo movie, Royal tour na burudani zote zitakazokupa duniani.

Malunde 1 App - Pia katika App hii utapata nyimbo mpya za wasanii, visa vya wasanii, nguo za wasanii na mambo yote ya wasanii duniani. Utapata habari zote kuhusu nchi yako, siasa, uchumi, utamaduni, mapenzi,picha za matukio na mambo ya habari za wasanii ,habari za wanasiasa, habari za watu maarufu.

Malunde 1 App - Kupitia App hii utapata fursa ya kusoma visa mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali wakihitaji ushauri kwenye mambo yanayowatatiza kila siku kwenye maisha na mbinu za kubadili maisha na kuongeza furaha katika maisha. Habari zote zinazogusa maisha ya watu.

Malunde 1 blog Fahari ya Shinyanga ni blog ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, nyimbo za asili na habari za kusisimua.
Ilisasishwa tarehe
23 Jul 2022

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikashiriki aina hii ya data na watu wengine
Mahali, Utendaji na maelezo ya programu na Kifaa au vitambulisho vingine
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Data haiwezi kufutwa