10+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Kozi hii inalenga kumwezesha mwanafunzi kuelewa maandishi ya kila aina, kama barua rasmi na isiyo rasmi, ujumbe wa kielektroniki, makala na matangazo. Ambapo mwanafunzi ataweza kuelewa mawazo makuu na tanzu ya matini ili kuweza kujibu maswali mbalimbali ya matini. Mwanafunzi atafahamu istilahi nyingi ambazo zitamsaidia kuelewa mada za kisasa kama vile teknolojia, tovuti za mitandao ya kijamii na mada zinazohusiana na maisha ya kibinafsi na kitaaluma ya mwanafunzi. Mwanafunzi pia ataweza kuandika barua na makala kueleza maoni yake kuhusu jambo fulani, kutoa ushauri au kusimulia matukio fulani. Atakuwa anafahamu viunganishi vya kimantiki na vya muda na usemi tofauti wa maoni na makubaliano au upinzani ili kuweza kuvitumia katika uandishi wake.
Ilisasishwa tarehe
20 Des 2021

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data