AVG Cleaner Lite

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.1
Maoni elfu 261
5M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Pata AVG Cleaner Lite sasa ili kuokoa nafasi!

⚡ Safisha faili taka, picha mbaya na programu zisizohitajika
⚡ Ondoa programu zinazotumia data nyingi sana za simu
⚡ Tazama maelezo yote muhimu kuhusu kifaa chako kwenye skrini moja
⚡ Tumia Hali ya Kulala na uweke programu usingizi hadi utakapozihitaji tena


Ukiwa na AVG Cleaner Lite unaweza kufuatilia na kusafisha faili taka, picha mbaya na programu zisizotakikana ili kupata nafasi ya mambo unayotaka.

Kisafisha Picha:
👍 Tambua kiotomatiki picha mbaya, zinazofanana na nakala
👍 Kagua picha unazotaka kuhifadhi
* Faragha yako ni muhimu kwetu! Hatuhifadhi wala kushiriki picha zako zozote

Kidhibiti Programu:
👍 Pata arifa za kila wiki kuhusu programu ambazo hazitumiki sana na uchague kama utazihifadhi au la


AVG Cleaner Lite huendesha ukaguzi wa kusafisha kiotomatiki na hukufahamisha ikiwa tayari kutumika. Kipengele hiki huendesha ukaguzi wa mara kwa mara wa kusafisha historia, faili na picha zako na kukujulisha ni nini kingine unaweza kuondoa kwa usalama. Iweke tu ili iendeshe kwa masafa unayopendelea, kulingana na kiwango chako cha matumizi na nafasi inayopatikana.


Safisha simu yako na upate nafasi. Ondoa data isiyo ya lazima, picha mbaya na faili zingine zisizohitajika ili kufanya nafasi zaidi ya kuhifadhi ipatikane kwa picha mpya, programu na kitu kingine chochote unachotaka.


Pata AVG Cleaner Lite sasa!


Kwa kusakinisha/kusasisha programu hii, unakubali kwamba matumizi yako yanasimamiwa na masharti haya: http://m.avg.com/terms

Programu hii hutumia ruhusa ya Ufikivu kusaidia walemavu na watumiaji wengine kusimamisha programu zote za chinichini kwa mguso mmoja tu.
Ilisasishwa tarehe
20 Mei 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikashiriki aina hii ya data na watu wengine
Mahali, Shughuli za programu na nyingine2
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine3
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

4.1
Maoni elfu 257

Mapya

We are always working to maintain this app in tip top shape and improve its functionalities. To learn details about the most important recent changes, please open the app and navigate to "What's new" screen. It can be directly accessed from the main menu. Thank you for using our app!