4.8
Maoni 757
elfu 10+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Umri wa miaka 10+
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Maonyesho ya Picha ya Kuonekana kwa Mwenyezi Mungu na Kazi Yake ni maonyesho ya mtandaoni ambayo yameundwa kwa uangalifu ili kuwapa wale wanaotamani kutafuta na kuchunguza njia ya kweli ufahamu wa kina wa kurudi kwa Bwana Yesu—juu ya kazi na kuonekana kwa Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho. Programu hii ina kila kitu kutoka kwa maonyesho hayo na inayaonyesha kwa muundo wa simu ya mkono ulio rahisi kutumia. Maonyesho hayo huleta pamoja mamia ya kazi za sanaa zilizochorwa kwa mikono ambazo zinaonyesha kila hatua ya mwazo na maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Zinajumuisha historia ya kazi na kuonekana kwa Mwenyezi Mungu, rekodi ya kuonekana na kazi ya Mwana wa Adamu kama ilivyotokea miongoni mwa makanisa ya nyumbani, hatua sita za kwanza za kazi ya hukumu ya Mwenyezi Mungu iliyoanza na nyumba ya Mungu, na jinsi ambavyo injili ya ufalme wa mbinguni imeenea nje ya nchi katikati ya mateso kutoka kwa serikali ya CCP. Kupitia picha hizi, utapata ufahamu wa kazi ya Mungu ya utakaso na wokovu wakati wa siku za mwisho, utahisi mamlaka na nguvu ya maneno Yake, na utapata kufahamu upendo wa kweli wa Mungu na wokovu wa wanadamu katika wakati huu.

Kwa nini matumizi ya CAG in Images?
Programu hii haina malipo kabisa. Muonekano wake wenye kuweza kuhisi, rahisi kutumia unakuruhusu kuvinjari michoro na rasilimali za sauti kwa urahisi.
Programu hii imepangwa kwa wazi katika sehemu tofauti za maudhui yaliyochorwa yanayoleta taswira ya asili na maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, yakikufundisha juu ya historia inayothaminiwa ya kazi na maneno ya Mwenyezi Mungu miongoni mwa wanadamu.
Watumiaji wanaweza kusikiliza nyimbo maarufu kutoka kwa kila hatua ya kazi ya Mungu. Nyimbo hizi zitakupa ufahamu wa kina wa kila kipengele cha kazi ya Mungu na hisia ya upendo na wokovu Wake.
Pia katika Neno Laonekana katika Mwili kizima, mmejumuishwa mamilioni ya maneno yaliyoonyeshwa na Mwenyezi Mungu Alipoonekana na kuanza kufanya kazi. Ukisoma maneno haya, unaweza kufurahia riziki nyingi ya uzima.

Sehemu Zilizomo
Mpangilio wa kusoma: Ukubwa wa maandishi unaweza kubadilishwa ili kurahisisha usomaji.
Maongezi mtandaoni: Huduma yetu ya maongezi ya mtandaoni inapatikana masaa 24 kwa siku, siku saba kwa wiki. Tafadhali wasiliana nasi wakati wowote ikiwa ungependa kujua zaidi kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Simu ya Moja kwa Moja: Kanisa la Mwenyezi Mungu linayo makanisa katika nchi na mikoa 37. Unaweza kupiga simu ya moja kwa moja ya kanisa lako la nyumbani ili kutafuta na kuchunguza kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho au kuuliza maswali yoyote.
Arifa za Kujitokeza Mara kwa mara: Wezesha arifa za kujitokeza mara kwa mara ili usikose maudhui mapya ya kusisimua kutoka kwa Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Ilisasishwa tarehe
13 Okt 2023

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Taarifa binafsi, Ujumbe na nyingine3
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

4.8
Maoni 717

Mapya

Upgrade target platform to Android 13