Agano Jipya katika Kikabwa
✔ Soma Agano Jipya na vitabu Mwanzo, Rutu na Jona offline bila kutumia MB zako
✔ Soma Kikabwa na Kiswahili kwenye ukarasa mmoja
✔ Sikiliza Agano Jipya na Mwanzo na Yona kwa sauti ya Kikabwa (kusikia kwa sauti inatumia MB)
✔ Angazia mistali maluum
✔ Tafuta maneno yeyote
✔ Andika dondoo
✔ Badalisha ukubwa wa maneno kwa kusoma rahisi
✔ Sambaza mstari na rafiki
✔ BURE KABISA!
Ilisasishwa tarehe
27 Okt 2023