Hii ni history ya Mtume S.A.W katika harakati za kulingania dini. Historia hii imeangalia kwa ufupi juu ya Maisha ya Mtume katika harakati zake za kulingania uislamu.
Historicalia hii imeangalia hasa kuhusu namna amavyo Mtume Muhammad s.a.w alipambana kueneza dini, changamoto alizokumbana nazo yeye na masahaba ปลุก katika kulingania dini na hatuwa walizozipitia.