4.1
Maoni 80
elfu 10+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Miaka 3 kwenda juu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Aplikesheni ya Ugani Kiganjani inawapatia wakulima taarifa na ushauri wa jinsi ya kuboresha uzalishaji wa mazao ya kilimo, taarifa za masoko, hali ya hewa na uhifadhi wa virutubisho na lishe. Aplikesheni hii ina huduma mbali mbali ambazo ziendana na mahali uliopo.

Aplikesheni hii inatoa taarifa katika mfumo wa maandishi, sauti na picha. Taarifa hizi zinapatikana katika lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Aplikesheni hii haihitajia ujisajili, hivyo hakuna taarifa binafsi zinazokusanywa na matumizi yake yanahitaji uwe umeunganishwa na mtandao wa intaneti tu.
Ilisasishwa tarehe
6 Feb 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data

Ukadiriaji na maoni

4.2
Maoni 77

Mapya

Kuboresha utulivu na habari