Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.
Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.
Pia App yetu ipo sambamba na Website yetu maalum ya www.animalscience.care. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali buya sehemu ya Comments.
Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.
Мавасилиано.
Имейл: agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp: 0762 799 080
уебсайт:
https://animalscience.care/
NB. Използване на Android приложение, блог и уебсайт.
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.
Актуализирано на
26.05.2024 г.