Miombo ni kifaa cha simujanja kinachoongeza natumizi zaidi ya tekinolojia katika uhifadhi endelevu wa maliasili ama kwa kuzuia uharibifu usitokee au sijirudie tena.
=> Vitu muhimu vinavyoweza fanyika ni:
-> Jira.
-> Ramani.
-> Dira / Uelekeo / Kutafuta.
-> Kutuma jumbe zenye jira.
-> Kurekodi jira na njia.
-> Vitini na Vipeperushi.
=> Matumiz Muhimu:
-> Kukusanya Takwimu.
-> Kupokea / Kupeleka / Kutuma Taarifa Fupi.
-> Kusimamia / Kufuatilia matumizi ya ardhi.
-> Mawasiliano.
Datum aktualizace
3. 3. 2023