Haya Audio Bible

100+
Downloads
Altersfreigabe
Jedes Alter
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot

Über diese App

Hii ni App maalum kabisa kwa watu wanaopenda kusoma Neno la Mungu kwa lugha mbalimbali ili kuelewa kwa undani na kwa ufasaha. Lugha tatu (3) zilizopo ndani ya App hii yaani Kiswahili, Kihaya na Kingereza zinatoa maelezo mazuri ya kuelewa Neno la Mungu. Si hivyo tu bali pia unaweza kusikiliza Neno la Mungu kwa Lugha zote 3 na kutazama video mbalimbali katika lugha zote 3. Pia unaweza kusoma Biblia hii katika lugha zote 3 kwa wakati mmoja au ukasoma tafsiri moja kwa wakati mmoja kulingana nawe setting utakazoyzitaka wewe. Ubarikiwe kwa kuchagua App hii.
Aktualisiert am
13.03.2023

Datensicherheit

Was die Sicherheit angeht, solltest du als Erstes verstehen, wie Entwickler deine Daten erheben und weitergeben. Die Datenschutz- und Sicherheitspraktiken können je nach deiner Verwendung, deiner Region und deinem Alter variieren. Diese Informationen wurden vom Entwickler zur Verfügung gestellt und können jederzeit von ihm geändert werden.
Keine Daten werden mit Drittunternehmen oder -organisationen geteilt
Daten werden nicht verschlüsselt
Daten können nicht gelöscht werden