Miombo ni kifaa cha simujanja kinachoongeza natumizi zaidi ya tekinolojia katika uhifadhi Endelevu wa maliasili ama kwa kuzuia uharibifu usitokee au sijirudie tena.
=>Vitu muhimu vinavyoweza fanyika ni:
-> Jira.
-> Ramani.
-> Dira/Uelekeo/Kutafuta.
-> Kutuma jumbe zenye jira.
-> Kurekodi jira na njia.
-> Vitini na Vipeperushi.
=> Matumiz Muhimu:
-> Kukusanya-Takwimu.
-> Kupokea/Kupeleka/Kutuma Taarifa Fupi.
-> Kusimamia/Kufuatilia matumizi ya ardhi.
-> Mawasiliano.
Aktualisiert am
03.03.2023