Nemobase: Biashara kiganjani

100+
Downloads
Content rating
Everyone
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image

About this app

Tunakupa umiliki wa biashara yako tena. Fuatilia ukuaji na kuza biashara yako kirahisi ukijua A-Z juu ya biashara yako. Usiachwe nyuma na kila kinachoendelea kwenye biashara yako, mafanikio na kabla biashara haijafa.

πŸ›οΈ Rekodi na jua kwa undani kuhusu mauzo yako bila kupoteza mauzo na gharama.

πŸ“² Tembea na bidhaa zako zote mfukoni na fuatilia kujua idadi iliyo baki na pata taarifa kuhusu bidhaa zinazokaribia kuisha kabla hazijaisha.

πŸͺ™ Ongeza faida zaidi ya Γ—2 kwa kudhibiti matumizi. Dhibiti matumizi kwa kurekodi na kufuatilia matumizi yako kirahisi.

πŸ“» Pata ripoti na taarifa kuhusu biashara yako sehemu moja bila kupoteza muda.

πŸ’‘Na bidhaa nyingi zaidi ulizohisi hautazihitaji au hukuzitegemea.

πŸ†“ Jiunge na tumia app yako bure kabisa kwa kipindi hichi cha majaribio.

πŸ”œNa mengine mengi yanakuja karibuni.


We want to help you take ownership of your business and make it the next generation. Download it now and be the next generation.
Updated on
10 Jun 2024

Data safety

Safety starts with understanding how developers collect and share your data. Data privacy and security practices may vary based on your use, region and age The developer provided this information and may update it over time.
No data shared with third parties
Learn more about how developers declare sharing
No data collected
Learn more about how developers declare collection

What's new

Record unlimited products ,sales and expenses at your convenience free of charge