- Tumebadilisha aikoni za app kwa ujumla
- Tumeongeza sala ya Rozari inayojitegemea
- Tumeweka mtiririko wa sala za asubuhi
- Picha kwenye historia za Maisha ya Watakatifu
- Uwezo wa kupokea notification tunapoongeza sala, historia za maisha ya watakatifu na mwangaza wa kila siku.
- Tumeweka sehemu ya kuelekeza namna ya kutumia app