نرم افزار Shule Tech ni Ambayo inakuwezesha mwanafunzi kupata kusoma online masomo ama kozi mbalimbali kutoka kwa walimu mbambali. Kwa sasa unaweza soma course au masomo yote ya sayansi kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha nne.
تاریخ بهروزرسانی
۳۰ خرداد ۱۴۰۴