Malunde 1 Blog

Contient des annonces
50 k+
Téléchargements
Classification du contenu
Tout public
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran
Capture d'écran

À propos de l'application

Malunde 1 blog App - cette application peut vous aider à comprendre que vous êtes un expert en Tanzanie et en Tanzanie. Habari za michezo, ajira, picha nzuri, mapenzi, siasa, uchumi, burudani, vidéo mpya, nyimbo mpya na mambo yote mazuri

Application de blog Malunde 1 - Utiliser tabu tena kutafuta habari za kusisimua na magazeti ya kila siku, kuwa mjanja malunde 1 blog app ndiyo kituo cha taarifa mpya, habari za moto moto, yanayojiri magazetini, habari kubwa magazeti, vichwa vya habari vya magazeti na habari na matukio ya ukweli na uhakika muda wote. Tunakupa habari kali kali kwa waandishi wa habari mahiri.

Malunde 1 blog App - Ni mahali pekee ambapo utapata habari za Shinyanga, Gamboshi na maeneo yote. Ni kituo cha habari za kusisimua, siasa, simulizi, mapenzi, michezo, nyimbo za asili na vituko. Mambo yote ya fashion na mitindo na matangazo ya burudani na biashara utapata kupitia app hii.

Malunde 1 blog App - Kuwa wa kwanza kupokea nyimbo za ngoma za asili, ngoma mpya za wasanii wa nyimbo asili na utamaduni. Tunakupa furaha na burudani za asili ili ufurahie ulimwengu wa burudani kutoka kwa wasanii wa Kanda ya Ziwa wakiwemo akina Bhudagala, Ng'wana Kang'wa, Ntemi omabala, Ngelela, Bhulemela, Mama Ushauri, Elizabeth Maliganya, Gude Gude, Kisima, Mchelemchele, Mlyambelele , Madebe na Wasanii wengine wa ngoma za Kisukuma, nyimbo za kisukuma, nyimbo za utamaduni , nyimbo za makabila yote.

Malunde 1 blog App - Hii inakupa habari mbalimbali kuhusiana na mapenzi, mahusiano, mapenzi,jinsi ya kuchagua mchumba, vyakula vya kuimarisha afya ya uzazi,jinsi ya kupata mrembo wa kuishi naye, visa viaa mapenzi, matukio ya mapenzi ushauri pamoja na simulizi zinazohusu na mapenzi kila siku zitakazokufanya uweze kujua mambo mengi sana kuhusiana na Mapenzi na matukio yatokanayo na mapenzi.

Malunde 1 App - App maalumu kwa habari za michezo na burudani, mechi zote, timu zote zinazocheza na wasanii wa filamu, bongo fleva, Singeli, bolingo, bongo movie, Royal tour na burudani zote zitakazokupa raha duniani.

Malunde 1 App - Pia Katika App hii utapata nyimbo mpya za wasanii, visa via wasanii, nguo za wasanii na mambo yote ya wasanii duniani. Utapata habari zote kuhusu nchi yako, siasa, uchumi, utamaduni, mapenzi, picha za matukio na mambo yote ya habari za wasanii, habari za wanasiasa, habari za watu maarufu.

Malunde 1 App - Kupitia App hii utapata fursa ya kusoma visa mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali wakihitaji ushauri kwenye mambo yanayowatatiza kila siku kwenye maisha na mbinu za kubadili maisha na kuongeza furaha katika maisha. Habari zote zinazogusa maisha ya watu.

Malunde 1 blog Fahari ya Shinyanga ni blog ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, nyimbo za asili na habari za kusisimua.
Date de mise à jour
23 juil. 2022

Sécurité des données

La sécurité, c'est d'abord comprendre comment les développeurs collectent et partagent vos données. Les pratiques concernant leur confidentialité et leur protection peuvent varier selon votre utilisation, votre région et votre âge. Le développeur a fourni ces informations et peut les modifier ultérieurement.
Cette appli peut partager ces types de données avec des tiers
Position, Infos et performance des applis et Appareil ou autres ID
Aucune donnée collectée
En savoir plus sur la manière dont les développeurs déclarent la collecte
Les données sont chiffrées lors de leur transfert
Impossible de supprimer les données