Momoa non é a aplicación inayomuwezesha wakala kutunza taarifa za miamala yake. Badala ya kurekodi miamala kwenye karatasi au kutorekodi, sasa wakala ataweza kutunza taarifa hizo kwenye simu.
Acceda a aplicación de Momoa:
💰 Wakala anaweza kurekodi miamala ya kuweka pesa (Ambapo anakua kapokea cash)
💰 Wakala anaweza kurekodi miamala ya kutoa pesa (ambapo wakala ametoa cash na kumpatia mteja)
💸 Wakala anaweza kurekodi muamala kama ni deni (madeni ni pale mteja hajachukua hela yake au wakala hajapewa hela yake na mteja)
👦🏼 Wakala anaweza kurekodi muamala kwa kumuainisha mteja kwa jina ou namba ya simu
🚨 Wakala atakua anaweza kuthibitisha hesabu zake wakati anavoanza siku na wakati anapofunga kwa urahisi, na kuweza kuona kama hesabu zimebalance ou laa.
⏮ Wakala anaweza kuangalia historia au ripoti ya nyuma ya miamala yote, hesabu alivoanza na alivofunga siku.
✍️ Wakala anaweza kuedit float au Cash. O que é o caso de Karushiwa float e o seu banco.
∞ Wakala anaweza está dispoñible para o banco ou para a awezavyo, na medida en que pode flotar.
💙 Tunawapenda mawakala na tuna matumaini Momoa itawasaidia kuzikuza biashara zao na kufanya usimamiaji uwe mwepesi, rahisi e haraka.
👋Karibu Momoa. Kama unakitu unatamani tuboreshe ou kuongeza tunaomba uwasiliane na sisi kupitia namba +255 682 411 725 (chamada ou whatsapp)
Última actualización
16 de set. de 2024