Hii historia ya Mtume S.A.W katika harakati za kulingania dini. Historia hii imeangalia kwa ufupi juu ya Maisha ya Mtume katika harakati zake za kulingania uislamu.
historia hii imeangalia hasa kuhusu namna amavyo Mtume מוחמד s.a.w alipambana kueneza dini, changamoto alizokumbana nazo yeye na masahaba wake katika kulingania dini na hatuwa walizozipitia.
עדכון אחרון בתאריך
14 באפר׳ 2024