Shule Tech ni App ambayo inakuwezesha mwanafunzi kupata kusoma online masomo ama cozi mbalimbali kutoka kwa walimu mbambali. Kwa sasa unaweza soma course au masomo yote ya sayansi kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha nne .Pia kozi nyingine kama ku design website, app mobile nk
עדכון אחרון בתאריך
20 ביוני 2025