Tamu Tamu

Contiene annunci
1,1K recensioni
Classificazione dei contenuti
Per tutti
10K+
Download
Immagine screenshot
Immagine screenshot
Immagine screenshot
Immagine screenshot

Informazioni sull'app

Tamu Tamu ni app ya burudani yenye mkusanyiko wa maudhui ya Kiswahili kama simulizi, visto, hadithi fupi, mashairi, mafundisho na makala mbalimbali. Lengo kuu ni kutoa usomaji wa kuvutia, rahisi na wa haraka kwa watumiaji wote wanaopenda maudhui ya lugha ya Kiswahili.

App hii haitumii mfumo wa akaunti, hivyo hutakiwi kujisajili wala kutoa taarifa zako binafsi ili kufurahia yaliyomo. Unafungua tu na kuanza kuanza kusoma papo hapo.

Vipengele Muhimu:

📚 Simulizi mbalimbali per kuvutia

✍️ Hadithi fupi na visto

📝 Makala na masimulizi ya kila siku

🌙 Modalità ya usomaji rahisi e modalità oscura

🔎 Utafutaji wa chapisho kwa urahisi

💾 Hakuna kujiandikisha – tumia mara moja bila akaunti.

Tamu Tamu imeundwa kwa ajili ya msomaji wa Kiswahili anayetaka burudani, elimu na usimulizi murua katika sehemu moja.
Pakua sasa na uanze safari ya kusoma maudhui matamu kila siku!
Tamu Tamu – Maudhui bora ya simulizi na hadithi in Kiswahili.
Ultimo aggiornamento
29 nov 2025
Storie in primo piano

Sicurezza dei dati

Il primo passo verso la sicurezza è capire in che modo gli sviluppatori raccolgono e condividono i tuoi dati. Le misure di protezione della privacy e della sicurezza dei dati possono variare in base all'utilizzo, alla regione e all'età. Lo sviluppatore ha fornito queste informazioni e potrebbe aggiornarle nel tempo.
  • Nessun dato condiviso con terze parti
    Scopri di più sulla modalità di condivisione dei dati dichiarata dagli sviluppatori
  • Nessun dato raccolto
    Scopri di più sulla modalità di raccolta dei dati dichiarata dagli sviluppatori
  • I dati non vengono criptati
  • Puoi richiedere l'eliminazione dei dati

Valutazioni e recensioni

1,09K recensioni

Assistenza per l'app

Numero di telefono
+254797798905
Info sullo sviluppatore
Abubakari Faraji Bakari Omari
swadik25@gmail.com
Kinango 80405 Kwale Kenya

Altri contenuti di Swadik