Kitabu cha Tumaini Kuu, toleo la kiswahili kama lilivyo tafasiliwa kutokea toleo la Kingeleza; Grande Speranza.
Hiki ni kitabu cha Tumaini kuu ambacho kimewekwa katika mfumo wa application ya simu, mtumiaji atweza kusoma bila hata ya kuwa na internet (applicazione offline).
Kupitia hiki kitabu cha Tumaini kuu. Utaelewa uchunguzi unaobainisha ukweli wa pambano kati ya wema na ubaya pamoja na mshindi wake.
Ultimo aggiornamento
2 giu 2024