Hiki ni kitabu kitakachokupa mafunzo ya swala, namna ya kuswali kama alivyoswali Mtume Muhammad (s.a.w) na masahaba zake.
უტაჯიფუნზა: -
1. Jinsi ya kutia udhu
2. კუონდოა ნაჯისი
3. kuoga na kujitwaharisha
4. Sharti za swala
5. ნგუზო ზა სვალა
6. Dua za kwenye swala
7. ტაჰიატუ
8. Swala ya Mtume
9. Dua baada ya swala
10. Yanayoharibu swala
11. Sunnah za swala
Kama uutaona kuna makosa yeyote ya kiuadhishi ama kifahamu, tafadhali wasiiana nasi.