Momoa ni app inayomuwezesha wakala kutunza taarifa za miamala yake ។ Badala ya kurekodi miamala kwenye karatasi au kutorekodi, sasa wakala ataweza kutunza taarifa hizo kwenye simu ។
កម្មវិធី Kupitia របស់ Momoa៖
💰 Wakala anaweza kurekodi miamala ya kuweka pesa (សាច់ប្រាក់ Ambapo anakua kapokea)
💰 Wakala anaweza kurekodi miamala ya kutoa pesa (ambapo wakala ametoa cash na kumpatia mteja)
💸 Wakala anaweza kurekodi muamala kama ni deni (madeni ni pale mteja hajachukua hela yake au wakala hajapewa hela yake na mteja)
👦🏼 Wakala anaweza kurekodi muamala kwa kumuainisha mteja kwa jina au namba ya simu
🚨 Wakala atakua anaweza kuthibitisha hesabu zake wakati anavoanza siku na wakati anapofunga kwa urahisi, na kuweza kuona kama hesabu zimebalance au laa ។
⏮ Wakala anaweza kuangalia historia au ripoti ya nyuma ya miamala yote, hesabu alivoanza na alivofunga siku ។
✍️ Wakala anaweza kuedit float au Cash ។ Hii ni kusaidia kama karushiwa float na wakala mwenzake au kafanya muamala kwa njia ya bank។
∞ Wakala anaweza kuongeza mtandao au bank kwa kadri ya awezavyo, na atatakiwa kujaza float iliyopo katika kila mtandao ។
💙 Tunawapenda mawakala na tuna matumaini Momoa itawasaidia kuzikuza biashara zao na kufanya usimamiaji uwe mwepesi, rahisi na haraka ។
👋 Karibu Momoa ។ កាម៉ា unakitu unatamani tuboreshe au kuongeza tunaomba uwasiliane na sisi kupitia namba +255 682 411 725 (ហៅទូរសព្ទ ឬ whatsapp)
បានដំឡើងកំណែនៅ
16 កញ្ញា 2024