Momoa ni app inayomuwezesha wakala kutunza taarifa za miamala yake. Badala ya kurekodi miamala kwenye karatasi au kutorekodi, sasa wakala ataweza kutunza taarifa hizo kwenye simu.
Купи апликација на Момоа:
💰 Wakala anaweza kurekodi miamala ya kuweka pesa (Ambapo anakua kapokea cash)
💰 Wakala anaweza kurekodi miamala ya kutoa pesa (ambapo wakala ametoa cash na kumpatia mteja)
💸 Вакала анавеса курекоди муамала кама ни дени (мадени ни пале мтеја хајачукуа хела јаке ау вакала хајапева хела јаке на мтеја)
👦🏼 Wakala anaweza kurekodi muamala kwa kumuainisha mteja kwa jina au namba ya simu
🚨 Wakala atakua anaweza kuthibitisha hesabu zake wakati anavoanza siku na wakati anapofunga kwa urahisi, na kuweza kuona kama hesabu zimebalance au laa.
⏮ Wakala anaweza kuangalia historia au ripoti ya nyuma ya miamala yote, accountu alivoanza na alivofunga siku.
✍️ Вакала анавеса е флоат или готовина. Hii ni kusaidia kama karushiwa float na wakala mwenzake au kafanya muamala kwa njia ya bank.
∞ Wakala anaweza kuongeza mtandao au bank kwa kadri ya awezavyo, na tatakiwa kujaza float iliyopo katika kila mtandao.
💙 Tunawapenda mawakala na tuna matumaini Momoa itawasaidia kuzikuza biashara zao na kufanya usimamiaji uwe mwepesi, rahisi na haraka.
👋Карибу Момоа. Kama unakitu unatamani tuboreshe au kuongeza tunaomba uwasiliane na sisi kupitia namba +255 682 411 725 (јавете се или whatsapp)