Maombi na Maombezi ni App inayokupa nafasi mtumishi wa Mungu kukutana na Maombi ya moja kwa moja kupitia simu yako ya mkononi, Utaweza kubarikiwa ukiwa nyumbani kupitia Watumishi wa bwana wa kimataifa Kutoka Tanzania na Mataifa mbalimbali Munguoy Nafon mungu
Mungu hawahi wala hachelewi.
Barikiwa na App yako ya Maombi na Maombezi ukue kiroho na kupata kupona
Dikemas kini pada
24 Jun 2024