Hii ni mpya, Pakua sasa au Update
Jifunze mapishi kupitia App hii kwa kutazama video au kufuata maelezo yaliyoandikwa. Ni sehemu nzuri sana kwa ambao wanapenda mapishi na kujifunza mapishi mbalimbali.
Uwanja huu ni kwa wote, wanaume na wanawake. Unaweza pakua programu hii na kuanza kujifunza mapishi bure bila malipo yoyote na itakusaidia sana.