> Ina maneno na misemo zaidi ya 9900+ ya kiingereza ikiwa na matamsi (Namna ya kutamka) na maana yake Mfano:- - Welcome ----> Welkam ---> Karibu - Father ----> Fadha -----> Baba
> Ina masomo zaidi ya 20+ ya kujifunza kiingereza.
> FAIDA YA KUTUMIA APP HII - Ni rahisi kuitumia (huhitaji kujisajili) - Inachukua nafasi ndogo sana kwenye simu - Inatumia Mbs chache (1-10 mbs) - inawezesha kusoma ukiwa huna Mbs (offline)