Hii ни App maalum kabisa kwa watu wanaopenda kusoma Neno la Mungu kwa lugha mbalimbali или kuelewa kwa undani на kwa ufasaha. Lugha tatu (3) zilizopo ndani ya App Hii yaani Kiswahili, Kihaya na Kingereza zinatoa maelezo mazuri ya kuelewa Neno la Mungu. Si hivyo tu bali pia unaweza kusikiliza Neno la Mungu kwa Lugha zote 3 на kutazama video mbalimbali katika lugha zote 3. Pia unaweza kusoma Biblia hii katika lugha zote 3 kwa wakati mmoja au ukasoma tafsiri moja kwa wakati mmoja mmoja utingaz ita Setting. Приложение Ubarikiwe kwa kuchagua, привет.
Последнее обновление
13 мар. 2023 г.