Tunakupa umiliki wa biashara yako tena. Fuatilia ukuaji na kuza biashara yako kirahisi ukijua A-Z juu ya biashara yako. Usiachwe nyuma na kila kinachoendelea kwenye biashara yako, mafanikio na kabla biashara haijafa.
🛍️ Rekodi na jua kwa undani kuhusu mauzo yako bila kupoteza mauzo na gharama.
📲 Tembea na bidhaa zako zote mfukoni na fuatilia kujua idadi iliyo baki na pata taarifa kuhusu bidhaa zinazokaribia kuisha kabla hazijaisha.
🪙 Ongeza faida zaidi ya ×2 kwa kudhibiti matumizi. Dhibiti matumizi kwa kurekodi na kufuatilia matumizi yako kirahisi.
📻 Pata ripoti na taarifa kuhusu biashara yako sehemu moja bila kupoteza muda.
💡Na bidhaa nyingi zaidi ulizohisi hautazihitaji au hukuzitegemea.
🆓 Jiunge na tumia app yako bure kabisa kwa kipindi hichi cha majaribio.
🔜Na mengine mengi yanakuja karibuni.
Chceme vám pomôcť prevziať vlastníctvo vášho podnikania a urobiť z neho ďalšiu generáciu. Stiahnite si ju teraz a buďte ďalšou generáciou.