Hii ni App maalum kabisa kwa watu wanaopenda kusoma Neno la Mungu kwa lugha mbalimbali ili kuelewa kwa undani na kwa ufasaha. Lugha tatu (3) zilizopo ndani ya App hii yaani Kiswahili, Kihaya na Kingereza zinatoa maelezo mazuri ya kuelewa Neno la Mungu. Si hivyo tu bali pia unaweza kusikiliza Neno la Mungu kwa Lugha zote 3 na kutazama video mbalimbali katika lugha zote 3. Pia unaweza kusoma Biblia hii katika lugha zote 3 kwa wakati mmoja au ukasoma tafsiri na mmja kwa setting u kulzowetaka we. Ubarikiwe kwa kuchagua App hii.
Uppdaterades den
13 mars 2023
Böcker och referensmaterial