Herufi na Akili – Akili and Me

4,4
487 recensioner
100 tn+
Nedladdningar
Innehållsklassificering
Ingen åldersgräns
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild

Om spelet

Sasa shule zimeanza rasmi. Je, wayajua maendeleo ya mwanao? Umemwandaa kufanya vizuri mwaka huu?

Appen har “Herufi na Akili” och det är en stor del av Elimu!

App hii ni tafsiri ya Kiswahili ya #Akili's Alphabet: Game #1 ya Elimu Tanzania yenye mashabiki wengi, liyopakuliwa zaidi ya mara 10.000 kwenye Play Store!

“Herufi na Akili” inamwandaa mtoto wako kwa ajili ya kwenda SHULE. App hii hutumia michezo na nyimbo kufundisha mwanao jinsi ya kutamka herufi na kumfunza maneno mapya!

Mtoto wako atafurahia ELIMU na app hii ya BURE inayoletwa kwako na waandaaji wa katuni murua ya elimu-burudani ya “Akili and Me.”!

Här kan du se Happy Hippo, Bush Baby och Little Lion, så att du kan se hur du gör "Akili and Me".

Hebu mwone anavyocheza kwa raha, akifurahi na marafiki huku akisikiliza HERUFI zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu!

Ubongo, ambao pia ni waandaaji wa katuni nyingine maarufu ya “Ubongo Kids”, wameitengeneza app hii kwa lengo hasa la kumwezesha mtoto wako:

FAIDA
- Atambue sauti za herufi.
- Afananishe herufi.
- Ajifunze kwa uwezo och kasi yake mwenyewe.
- Får ont.
- Apende kujifunza.

VILIVYOMO
- Jifunze zaidi ya maneno 80 mapya.
- Cheza kwenye mazingira salama kwa ajili ya mtoto.
- Om du vill ha 3, 4, 5 och 6.
- Haina maksi wala daraja, hivyo mtoto atajifunza bila hofu.
- Ni BURE kabisa. Hakuna gharama zozote.
- Inafanya kazi BILA MTANDAO.

Ubunifu wa “Herufi na Akili” är inte bara en bra app, men vi kan också ladda ner en app som ger dig en bra bild.

Mwonyeshe jinsi ya kupanga na kuoanisha herufi mara moja au mbili tu, kisha tazama jinsi anavyocheza mwenyewe kwa uhuru kabisa na kwa raha zake!

Wangoja nini? Ipakue sasa BURE!

KIINGEREZA - AKILIS ALFABET
Ahsante kwa kupakua Herufi na Akili. Tumekuandalia pia tafsiri ya app hii inayoitwa "Akili's Alfabet" inayomfundisha mwanao sauti za herufi na maneno mapya kwa lugha ya Kiingereza.

"Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me." Du kan använda "Akili's Alphabet" på Google Play, och det kan du använda.

KUHUSU “AKILI OCH JAG”
“Akili and Me” är en viktig del av ett unikt inslag i Ubongo, vilket gör att ”Ubongo Kids” har ett nytt program för att skapa en översikt över hur det fungerar i Afrika.

Karibu Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Cheza herufi! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza och Kiswahili på Akili.

Njoo ufurahi med Little Lion, Happy Hippo och Bush Baby med Jumamosi och Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1 (Tanzania), och Jumamosi pekee saa 3 asubuhi kupitia Citizen TV (Kenya).

KUHUSU UBONGO
Ubongo ni kampuni ya kijamii ya Tanzania inayoandaa vipindi na katuni mahususi za elimu na burudani kwa ajili ya watoto wa Afrika, ikitumia teknolojia za kidijitali kama redio, simu, televisheni na vitabu vya mtandaoni kuwafiko popote.

Mkakati wetu ni kuwafurahisha wana wa Afrika, tukiwafunza ili wapende kujifunza zaidi kwa uwezo na nafasi yao, wakitumia teknolojia walizo nazo. Njoo utazame vipindi maarufu with “Ubongo Kids” and “Akili and Me” vinavyofikia zaidi ya nyumba milioni 5.1 bar Afrika.

ONGEA NASI
Kama una maswali, maoni, ushauri ama unahitaji msaada wowote, tafadhali zungumza nasi kupitia info@ubongo.co.tz. Twafurahi sana unapotupa maoni yako.
Uppdaterades den
11 okt. 2021

Datasäkerhet

Säkerhet börjar med förståelsen av hur utvecklare samlar in och delar din data. Praxis för dataintegritet och säkerhet varierar beroende på användning, region och ålder. Utvecklaren har tillhandahållit denna information och kan uppdatera den med tiden.
Ingen data delas med tredje part
Läs mer om hur utvecklare deklarerar delning
Ingen data samlades in
Läs mer om hur utvecklare deklarerar insamling
Mån om att följa familjepolicyn för Play

Betyg och recensioner

4,4
450 recensioner