Tunakupa umiliki wa biashara yako tena. Fuatilia ukuaji na kuza biashara yako kirahisi ukijua A-Z juu ya biashara yako. Usiachwe nyuma na kila kinachoendelea kwenye biashara yako, mafanikio na kabla biashara haijafa.
🛍️ Rekodi na jua kwa undani kuhusu mauzo yako bila kupoteza mauzo na gharama.
📲 Tembea na bidhaa zako zote mfukoni na fuatilia kujua idadi iliyo baki na pata taarifa kuhusu bidhaa zinazokaribia kuisha kabla hazijaisha.
🪙 Det har inte gått 2 × 2 för att kunna ta reda på. Dhibiti matumizi kwa kurekodi na kufuatilia matumizi yako kirahisi.
📻 Pata ripoti na taarifa kuhusu biashara yako sehemu moja bila kupoteza muda.
💡Na bidhaa nyingi zaidi ulizohisi hautazihitaji au hukuzitegemea.
🆓 Jiunge na tumia app yako bure kabisa kwa kipindi hichi cha majaribio.
🔜Na mengine mengi yanakuja karibuni.
Vi vill hjälpa dig att ta ägarskap över ditt företag och göra det till nästa generation. Ladda ner den nu och bli nästa generation.
Uppdaterades den
10 juni 2024