Baraka sonko Electronics ni programu ya Matangazo ya Biashara yanayofanyika kwa lugha ya kiswahili. Kupitia program hii, unaweza kuagiza kisha kulipia baadae.
NI RAHISI
Pakua program hii kisha fungua akaunti yako ambayo itakuwezesha kuchagua na kuagiza kulingana na mahali ulipo
NI YA KISASA
Program hii imeboreshwa na wakati wote ni rafiki na kutumia rahisi. tumia programu yetu ya kutafuta vifaa vya umeme kama spika, Maiki, Subwoofer, Vinanda na vinginevyo
Ilisasishwa tarehe
26 Sep 2024