Hisabati Haraka ni mchezo wa kuboresha ujuzi wako wa hesabu, katika mchezo huu unaweza kuboresha kujumlisha, kutoa, kuzidisha, kugawanya na kuhesabu asilimia. Cheza, furahiya na ujifunze.
Acha kutumia kikokotoo kufanya hesabu, Boresha ujuzi wako wa msingi wa hesabu.
Ilisasishwa tarehe
25 Mac 2023