Familia na nyumba ni vya thamani kubwa machoni pa Mungu. Neno la Mungu limejaa matamko juu ya eneo hili. Mwanzoni mwa ulimwengu, Mungu aliumba Adamu na Hawa kama wanandoa. Aliwaumba kwa mfano wake; ina maana kwamba binadamu, kama wanandoa, ni kweli sura au kielelezo cha Mungu. Kwa kuwaona wenzi wa ndoa Wakristo, ni lazima ulimwengu uone sura au mchoro wa Mungu.
MUHTASARI
I. Thamani ya mwanadamu katika uumbaji
II. Mpango wa Mungu kwa Ndoa
III. Upendo na maisha ya kiroho kama msingi wa ndoa
IV. Mawasiliano, uaminifu na uwazi ndani ya wanandoa
V. Ujinsia ndani ya wanandoa
VI. Dhibiti mali ya familia yako
VII. Elimu ya watoto wetu
VIII. Utatuzi wa migogoro
Na sauti.
Ilisasishwa tarehe
20 Ago 2024