Snake '97: simu ya zamani

Ina matangazo
4.4
Maoni elfu 105
10M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu mchezo huu

Cheza Snake kama kwamba ni 1997. Huu nu muundo mpya wa Snake halisi, uliokamilika kwa onyesho na sauti zisizobadilika za dot-matrix.
Pata dozi ya nostalgia ambayo ni yenye uraibu (na kutamausha) kama halisi.

Cheza Snake '97 na uwe tayari kupoteza saa muhimu.

Fungua programu, gusa kitufe na uanze!

Vipengele vya Snake '97:
- vidhibiti vya zamani
- onyesho la dot-matrix
- sauti halisi zisizobadilika (bleep bleep)
- viwango vigumu 9 halisi na 3 ziada
- Snake 1 na Snake 2 ya kawaida
- hali 5 za mchezo wa kawaida (5110, 3210, 8210, 8850 na 3310 pamoja na Snake 2)
- viumbe vya ziada (Snake 2)
- pitia kutani! (Snake 2)
- mitandao isiyo ya kawaida 5 halisi na 2 ziada (Snake 2)
- alama ya juu isiyoweza kuwekwa upya (kama tu halisi)

Kisa kinachohusu mchezo huu ni kuwa simu yangu mahiri (smartphone)iliharibika, na kunihitaji kuendelea kutumia simu ya zamani. Ghafla nikajua simu mahiri ilikuwa ikikosa kitu na hapo ndipo likaja wazo la kuunda upya Snake kwa usahihi.

Snake '97 ni heshima kwa mchezo wa simu ya mkononi iliyoratibiwa 1997.

Kwa kuchanganua kwa makini mchezo wa kawaida, muda na vidhibiti, muundo huu mpya wa Snake '97 ni mmoja kati ya sahihi iliyopo.

Iwapo una maswali, maoni au mapendekezo, kuwa huru kuwasiliana nami.
Furahia Snake!

Kila heri kutoka Amsterdam,
Msanidi programu,
Willem.
Ilisasishwa tarehe
28 Okt 2023

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikashiriki aina hii ya data na watu wengine
Shughuli za programu, Utendaji na maelezo ya programu na Kifaa au vitambulisho vingine
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Shughuli za programu, Utendaji na maelezo ya programu na Kifaa au vitambulisho vingine
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Data haiwezi kufutwa

Ukadiriaji na maoni

4.4
Maoni elfu 102

Mapya

Bug fixes and improvements.