Kata Weka Picha Mfumo Karabati

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.6
Maoni elfu 532
50M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Tengeneza picha yoyote iwe ya kufurahisha. Jiweke karibu na mtu mashuhuri ama usonge kwenye pahali popote duniani 🗺️ ukitumia mfumo wa kuchagua, kuhariri na kuweka pamoja vipengele kadhaa ili kuunda picha moja nzima. Badilisha uso wako na marafiki ama ubadilishe nyuso na za nyota na wanyama warembo 🐯.

Rahisi kutumia. Agiza picha kutoka kwenye picha ya sanaa ama uzipate kwenye mtandao ukitumia uchunguzi wa picha 🌐. Kata ✂️ unachohitaji, ashiria unapotaka kubandika picha, na programu itafanya hayo mengine.

Ushauri: Ili kufanya makato yasionekane sana kwenye picha ya mwisho, jaribu kutumia usuli ulio na mfumo wa "uwazi" (maji 🌊, upinde wa mvua 🌈, mawingu ☁️, mchanga 🏖️, na kadhalika.).

Shirikisha marafki kwa kuwatumia picha yako ya kuchekesha ukitumia mbinu zako za ujumbe uzipendazo na mitandao ya kijamii 📲.
Ilisasishwa tarehe
18 Jan 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikashiriki aina hii ya data na watu wengine
Mahali, Shughuli za programu na nyingine2
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Shughuli za programu na nyingine2
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Data haiwezi kufutwa

Ukadiriaji na maoni

4.6
Maoni elfu 510
Mtu anayetumia Google
12 Aprili 2020
Nimeipenda
Watu 4 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?

Mapya


Marekebisho kadhaa ya kiteknolojia 🚀